MATUKIO MBALIMBALI YA ASKARI WALIOSHAMBULIWA KULE DARFUR

Margareth Itala | 22:55:00 | 0 comments

Julai 16,2013- Jumanne.
(Picha zote na Albert Gonzales Faran - UNAMID)


MAJENEZA YENYE MIILI YA ASKARI WALIOUWAWA KWA SHAMBULIZI HUKO DARFUR KATIKA HAFLA MAALUM KABLA YA KUSAFIFIRISHWA KUREJEA NYUMBANI KWA MAZIKO.


VIONGOZI WA VIKOSI VYA MAJESHI YA UMOJA 
WAKIMJULIA HALI MMOJA WA ASKARI
 ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIZI HILO


BAADHI YA ASKARI WAKIPAKIA KWENYE GARI MASANDUKU YENYE
 MANEJEZA YA MIILI YA ASKARI WALIOFARIKI.


ASKARI WAKIWA NDANI YA MOJAWAPO YA
 CHOMBO CHA MOTO KILICHJERUHIWA PIA KATIKA 
SHAMBULIZI HILO LA WAASI NCHINI SUDAN.

KIKAO CHA VIONGOZI NA ASKARI HAO BAADA
 YA TUKIO LA SHAMBULIZI


MOJAWAPO YA MAGARI YA ASKARI HAO LIKIWA 
LIMEHARIBIWA VIBAYA WAKATI WA SHAMBULIZI.


VIONGOZI MBALIMBALI WAKIMFARIJI MMOJA WA ASKARI ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIZI HILO.

Category:

Margareth Itala:
Fahamutz ni blog ya inayoiwezesha jamii kufahamu mambo mbalimbali ikiwamo habari za kisiasa, jamii, uchumi, makala na matirio kwa wanafunzi wa vyuo walio katika vitivo vya elimu ya sayansi ya jamii.

0 comments